728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
14 August 2014

Download | Roma & Bob Junior - Maumivu [Audio]



Download collabo mpya na ya kwanza kutoka kwa Roma Mkatoliki na Bob Junior Sharobaro...
Maumivu ni ngoma iliyofanywa kutimiza ahadi ya Roma aliyoahidi kuwa iwapo Brazil ingetolewa kwenye robo fainali ya michuano ya kombe la dunia basi yeye angehama kutoka Record Label ya Tongwe na angehamia kwa Bob Jr na siku ya siku Brazil ilichapwa goli 7 - 1 na timu ya taifa ya Ujerumani.
 Sasa ahadi ni deni na deni lenyewe ndio hili, download mzigo ni free for Promo only..
Enjoy

Download | Roma & Bob Junior - Maumivu [Audio] Reviewed by Nolniz on Thursday, August 14, 2014 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: